Sunday 28 August 2011

ARSENAL YAPATA KIPIGO!

Kama Wenger hatabalishisha mfumo wa kuijenga timu  uenda Arsenal ikajikuta ya mwisho kwenye  Barclays English Premier League ifikapo mwisho wa msimu, na kushindwa kushiriki mashindano ya UEFA Champions league msimu ujao.

Kipigo Arsenal ilichopewa na Manchester United cha mabao 8 dhidi ya 2, kinatosha kudhiirisha hali ilivyombaya na nini kinaitajika kufanyika kurekebisha hali hiyo.

Mwisho wa kununu wachezaji wapya kuhimarisha timu ni Jumatano ya wiki hii (31 Aug 2011). Je Wenger ataleta wachezaji wapya?

No comments:

Post a Comment