Mkutano huo ulifanyika siku chache baada ya Mh Lema kuachiwa huru kwa dhamana siku ya Jumatatu, 29 April 2012. Mh Lema anakabiliwa na kesi ya uchochezi kwa wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), kesi hiyo itasikilizwa tena Jumatano ya 29 May 2013
Kamanda, Mh Lema akimwaga sera kwa wananchi wa jimbo lake
Ole Millya aliudhuria na alipata nafasi ya kuongea na wananchi walioudhuria
(picha na www.arusha255.blogspot.com )
Katika mkutano huo, wanachama wa CHADEMA watakao gombania nafasi nne za udiwani zilizowazi, walitambilishwa kwa wananchi.
No comments:
Post a Comment