Saturday, 4 May 2013

MECHI ZA 04 MAY 2013 - LIGI KUU YA UINGEREZA

18:00 Fulham  2 - 4  Reading
18:00 Norwich City  1 - 2  Aston Villa
18:00 Swansea City  0 - 0  Manchester City
18:00 Tottenham H Spurs  1 - 0  Southampton
18:00 West Bromwich  2 - 3  Wigan Athletics
18:00 West Ham Utd  0 - 0  Newcastle Utd
20:30 Queens P Ranger  0 - 1  Arsenal

NB: Saa za Afrika Mashariki

Kumekucha, Arsenal na Tottenham bado zafukuzana, ni wakati wa sala na kukusanya hazina ya machozi, dalili za vilio mwisho wa msimu ndio hizi !!!

Arsenal imebakiza mechi mbili, Tottenham mechi 3 na Chelsea imebakiza mechi 4.

Msimamo wa top 7 (point mabanoni): 1.Man Utd (85), 2.Manchester City (72), 3.Arsenal (67)4.Chelsea (65), 5.Tottenham (65), 6.Everton (59), 7.Liverpool (54)

Zinazo shikilia mkia (point mabanoni) : 17.Sunderland (37), 18.Wigan (35), 19.Reading (28) 20.QPR (25)

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kazi kwa Tottenham na Arsenal kwenye mbio za kutafuta top 4.

Ngoma kwa QPR, na Aston Villa kwenye kinyang'anyiro cha kukwepa janga la kushuka daraja.

Kesho: Liverpool v Everton, Manchester Utd v Chelsea

No comments:

Post a Comment