22:45 Chelsea 2 - 2 Tottenham
NB: Saa za Afrika Mashariki
Baada ya kuongoza kwa 2-1, Chelsea wakachukua likizo wakijua wanayo nafasi ya tatu mkononi, zikiwa zimebaki dk 10 za kipenga cha mwisho Tottenham wakatoa kichapo na kusawazisha! Chelsea inayo nafasi kubwa ya kumaliza kwenye top 4.
Chelsea imebakiza mechi mbili dhidi ya Aston Villa na Everton. Wakati Arsenal imebakiza mechi dhidi ya Wigan na Newcastle. Nayo Tottenham imebakiza mechi dhidi ya Stoke City na Sunderland.
Msimamo, top 7 (point mabanoni): 1.Man Utd (85), 2.Manchester City (72), 3.Chelsea (69), 4.Arsenal (67), 5.Tottenham (66), 6.Everton (60), 7.Liverpool (55)
---------------------------------------------------------------------------------------------------
Kipima joto cha Arsenal !!
Timu hizi zinatafuta point tatu kujiongezea matumaini ya kumaliza katika top 4 ili kushiriki Uefa-Ligi ya Mabingwa msimu ujao, nafasi ambayo inatafutwa Arsenal.
Baada ya mechi hii zitakuwa zimebaki mechi 2 kwa timu zote ishirini ili kukamilisha msimu.
No comments:
Post a Comment