Tuesday, 7 May 2013

MECHI ZA 07 MAY 2013 - LIGI KUU YA UINGEREZA

22:45 Manchester City 1 - 0 West Bromwich
22:45 Wigan 2 - 3 Swansea

NB: Saa Za Afrika Mashariki

Manchester City imeweka nafasi ya pili mfukoni, Wigan hali si shwari.

Timu nne zilizo mkiani (point mabanoni): 17.Newcastle (38), 18.Wigan (35), 19.Reading (28), 20.QPR (25)

--------------------------------------------------------------------------------------------------------
Wigan inatafuta point 3 kujiongezea matumaini ya kubakia kwenye ligi hii msimu ujao, la sivyo itaungana na QPR na Reading kushuka daraja.

Kesho: Chelsea v Tottenham

No comments:

Post a Comment