Tuesday, 16 April 2013

MECHI ZA 16 APRIL 2013 - LIGI KUU YA UINGEREZA

21:45 Arsenal  0 - 0  Everton

NB: Saa za Afrika Mashariki

Arsenal yashindwa kutumia vizuri uwanja wa nyumbani, yaambulia point moja!

Msimamo wa top 6 (point mabanoni):1. Man Utd (80), 2.Manchester City (65), 3.Arsenal (60), 4.Chelsea (58), 5.Tottenham (58), 6.Everton (56)

--------------------------------------------------------------------------------------------------------
Awali ni awali!

Baada ya mechi hii Chelsea iliyopo nafasi ya 4 na point 58 itakuwa na viporo vya mechi mbili, Tottenham mechi moja.

Arsenal ipo nafasi ya 3 ikiwa na point 59, Everton ina point 55 ikiwa nafasi ya 6. Everton imeonyesha kuwa ni vinga'ng'anizi na uenda wataipa Arsenal wakati mgumu mpaka mwisho wa ligi.

Kesho: Manchester City v Wigan, West Ham Utd v Manchester Utd, Fulham v Chelsea

No comments:

Post a Comment