17:00 Arsenal 3 - 1 Norwich City
17:00 Aston Villa 1 - 1 Fulham
17:00 Everton 2 - 0 Queens Park Rangers
17:00 Reading 0 - 0 Liverpool
17:00 Southampton 1 - 1 West Ham Utd
NB: Saa za Afrika Mashariki
Arsenal kazi kama kawaida, Everton aijakata tamaa, Liverpool mhhh!
Msimamo wa top 10 (point mabanoni): 1.Man Utd (77), 2.Man City (65), 3.Arsenal (59), 4.Chelsea (58), 5.Tottenham (58), 6.Everton (55), 7.Liverpool (50), 8.West Brom (44), 9.Swansea (41), 10.Fulham (40)
---------------------------------------------------------------------------------------------------
Tottenham imecheza mechi 32 na inazo point 58, Arsenal inazo point 56 baada yamechi 31 hivyo ushindi katika mechi utaipeleka mpaka nafasi ya 3 ikisubiri Chelsea kukamilisha mechi ya 32.
Liverpool vipi leo?
Kesho: Newcastle Utd v Sunderland, Stoke City v Manchester Utd
No comments:
Post a Comment