Baada ya matibabu ya muda mrefu ya ugonjwa wa cancer, rais Hugo Chavez amefariki dunia.
Rais Chavez alirudi nchini Venezuela hivi karibuni kutoka Cuba alipokwenda kupata matibabu ya cancer.
Kujua zaidi twanga link .. http://uk.reuters.com/article/2013/03/05/uk-venezuela-chavez-idUKBRE92405620130305
No comments:
Post a Comment