22:45 Borussia Dortmund 3 - 0 Shakhtar Donetsk
22:45 Manchester Utd 1 - 2 Real Madrid
NB: Saa za Afrika Mashariki
Real Madrid na Burussia zasonga mbele.
Kifo cha wengi...., Man Utd imeaga mashindano msimu huu!! Arsenal, Celtic kufuata nyayo?
Ingawa Man U wamehisi kuonewa baada ya Nani kupewa red card, ukweli ni kwamba magoli yote yamefungwa na Real Madrid.
Man Utd ilipata bao la kwanza dk ya 3 ya kipindi cha pili baada ya Real Madrid kujifunga kupitia Ramos. Dakika ya 66 Modric akaipatia Real bao la kwanza na baada ya dk 3 Ronaldo akaongeza bao la ushindi na kuwatoa mkuku Man Utd kwenye Uefa msimu huu.
Kesho: Juventus v Celtic, Paris St Germain v Valencia
No comments:
Post a Comment