15:45 Sunderland 0 - 1 Manchester Utd
18:00 Arsenal 4 - 1 Reading
18:00 Manchester City 4 - 0 Newcastle Utd
18:00 Southampton 2 - 1 Chelsea
18:00 Swansea City 1 -2 Tottenham H Spurs
18:00 West Ham Utd 3 - 1 West Bromwich
18:00 Wigan Athletics 1 - 0 Norwich City
20:30 Everton 1 - 0 Stoke City
NB: Saa za Afrika Mashariki
Tottenham, Arsenal na Everton zaongeza kasi, Chelsea maruweruwe!
Msimamo wa top 10 (point mabanoni): 1.Man Utd (77), 2.Man City (62), 3.Tottenham (57), 4.Chelsea (55), 5.Arsenal (53), 6.Everton (51), 7.Liverpool (45), 8.West Brom (44), 9.Swansea (40), 10.Fulham (36)
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni kimbia ni kufuate!
Chelsea inatafuta nafasi ya pili na kuipa Man City tumbo joto! Tottenham nayo inaichungulia Chelsea ili kuchukua nafasi ya tatu. Arsenal nayo inaitafuta Tottenham, na Everton inaikimbilia Arsenal! ITAKUWA VIPI?
No comments:
Post a Comment