16:30 Aston Villa 2 - 1 West Ham Utd
19:00 Manchester Utd 2 - 0 Everton
NB: Saa za Afrika ya mashariki
Man Utd inaendelea kupiga kasia!
Msimamo ulivyo- top 10 ( point mabanoni): 1.Man Utd (65), 2.Man City (53), 3.Chelsea (49), 4.Tottenham (48), 5.Arsenal (44), 6.Everton (42), 7.Swansea (37), 8.Liverpool (36), 9. West Brom (34), 10.Stoke (33)
---------------------------------------------------------------------------------------------------
Kipigo ilichopata Man City kimetoa nafasi ya Man Utd kuchanja mbuga, ushindi ni lazima la sivyo utakuwa mwanzo wa ubingwa kuota majani!
Everton ipo nafasi ya 6, nyuma ya Arsenal kwa tofauti ya point 2, kinyume na ushindi dhidi ya Man Utd ni nafuu kwa Arsenal.
Kwa mechi za Kombe la mataifa ya Afrika - angalia habari iliyotangulia hapo chini
No comments:
Post a Comment