21:00 Nigeria 1 - 0 Burkina Faso
NB: Saa za Afrika ya Mashariki
Nigeria Mabingwa wa Africa Cup of Nations 2013
Mhhhh, 'Asiye kubali kushindwa.........' Burkina Faso wamejitahidi....
---------------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni Burkina Faso kuchukua ubingwa? Labda Nigeria upepo uwaendee vizuri sababu Burkina Faso wanayo nafasi na uwezo zaidi.
Kwa mechi za ligi kuu ya Uingereza - angalia habari inayofuata hapo juu
No comments:
Post a Comment