22:45 Chelsea 0 - 2 Swansea
NB: Saa za Afrika Mashariki
Bao la kwanza lilifungwa na Michu dk ya 39, na bao la pili lilifungwa dk ya 90
Ina maana kwamba Chelsea awakujua yaliyo wakumba Arsenal walipocheza na Swansea kwenye kombe la FA tarehe 06 Jan! Kibaya zaidi Chelsea wamefungiwa uwanja wa nyumbani, ugenini itakuwaje?
Mechi nyingine ya nusu fainali ya Capital one iliyochezwa jana, Bradford iliwasulubu Aston Villa 3-1 bila huruma. Bradford ndio walio watoa Arsenal kwenye robo fainal na kama watafanikiwa baada ya mechi ya marudiano dhidi ya Aston Villa watacheza fainal dhidi ya Chelsea ama Swansea.
Mechi za marudiano:- 22 January 2013: Aston Villa v Bradford na 23 Jan 2013:Swansea v Chelsea
No comments:
Post a Comment