16:30 Swansea 2 - 2 Arsenal
19:00 Mansfield 1 - 2 Liverpool
NB: Saa za Afrika Mashariki
Baada ya kunusurika, Arsenal yapoteza ushindi wa 2-1 na kuambulia sare, watashinda mechi ya marudiano 16 Jan 2013?
------------------------------------------------------------------------------------------------------
Katika mechi mbili zilizopita Swansea iliichapa Arsenal 2-0 (Dec 1) na 3-2 (Jun 12), Arsenal inaweza kuthibitisha kwamba sio kibonde wa Swansea?
No comments:
Post a Comment