Saturday, 22 September 2012

MECHI ZA 22 SEPT 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

14:45 Swansea 0-3 Everton
17:00 Chelsea 1-0 Stoke City
17:00 Southampton 4-1 Aston Villa
17:00 West Bromwich 1-0 Reading
17:00 West Ham Utd 1-1 Sunderland
17:00 Wigan Athletics 1-2 Fulham

NB: Saa za Afrika Mashariki

Ashley Cole aipatia Chelsea bao la ushindi dk5 kabla ya mchezo kumalizika, Chelsea yabakia kileleni kwa kufikisha point 13.

------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kesho: 15:30 Liverpool v Manchester Utd, 17:00 Newcastle Utd v Norwich City, 18:00 Manchester City v Arsenal, 18:00 Tottenham v QPR


No comments:

Post a Comment