Wednesday, 1 August 2012

MBIU YA UJASIRIAMALI NA MSEMO WA 'PRACTICE WHAT U PREACH'

'Wanasema 'Practice what you preach' na Tanzania kuna mbiu inayopigwa kila kona inaitwa 'Ujasiriamali'

Ujasiriamali unagusa fani mbalimbali, ikiwemo utamaduni wa Mtanzania nk, lengo likiwa ni kukuza ajira na kuinua uchumi wa taifa.

Mavazi ni sehemu ya Utamaduni, hivyo kama Watanzania watathamini mavazi yenye asili ya Kitanzania, itakuwa njia mojawapo ya kutangaza utamaduni wetu na kusaidia kukuza vipato vya Wajasiriamali na viwanda vya ndani kwa ujumla.



Pichani katikati ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda alipozindua mradi wa maji Hospitali  ya Mawenzi  mkoani Kilimanjaro uliodhaminiwa na SBL, kulia


Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda akizungumza kwenye uzinduzi wa mradi wa maji, Hospitali ya Mawenzi mkoani Kilimanjaro

NB: Kuna tofauti kubwa kati ya Utamaduni wa nchi za West Africa na wa Tanzania haswa katika mavazi, lets practice what we preach!

No comments:

Post a Comment