21:45 England 2-4 Italy
NB: Saa za Afrika Mashariki
Italy yaingia nusu fainali, kupambana na Germany siku ya Alhamisi.
Dakika 120 zilimalizika matokeo yakiwa 0-0.
Matuta (aka penalty) yakatumika kupata mshindi. Italy ikafanikiwa kapata 4 kati ya tano, na kupoteza moja. Montolive alikosa kwa kupiga nje.
Wapiga penalty upande wa Italy: Baloteli, Montolivo, Pirlo, Nocerino na Diamanti.
England wamedhihirisha sio makini kwenye matuta kwa kukosa penalty 2, huku moja ikipiga mwamba (Ashley Young) na nyingine kumpa kipa mkononi (Ashley Cole)
Wapiga matuta upande wa England: Gerald, Rooney, A.Young, A.Cole
Mechi za nusu fainali:-Jumatano, 27 June 2012 - Portugal v Spain . Alhamisi, 28 June 2012 -Germany v Italy
Fainali: Jumapili, 01 July 2012
---------------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni robo fainali ya mwisho kupata mshindi atakaye ingia nusu fainali kupambana na Germany! England itaweza kutamba mbele ya Italy?
No comments:
Post a Comment