Tuesday, 19 June 2012

MECHI ZA 19 JUNE 2012 - UEFA EURO 2012

21:45 England 1-0 Ukraine
21:45 Sweden 2-0 France

NB: Saa za Afrika Mashariki

Engand na France zimeingia robo final.

France imefungwa mechi hii, lakini imepata bahati ya kucheza robo finali baada ya England kuifunga Ukraine, kinyume chake adhithi ingekuwa tofauti.

Robo finaliAlhamisi, 21 June 2012- Czech v Portugal.

Ijumaa - Germany v Greece, Jumamosi -France v Spain, Jumapili-Engalnd v Italy

----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kabla ya mechi hizi, msimo wa kundi hili la D na point mabanoni ni kama ifuatavyo: France (4), England (4), Ukraine (3), Sweden (0). 

Sweden imeshaaga michuano hii, hivyo mechi ni ya kutimiza wajibu. Hata hivyo France inabidi kuwa makini, la sivyo itaaga michuano hii.

Ukraine ndio timu wenyeji iliyobaki kwenye michuano hii, baada ya wenzao Poland kutolewa. Ukraine watafanya kila juhudi kuwafunga England, kitu ambacho sio rahisi ingawa kinawezekana.

No comments:

Post a Comment