19:00 Netherlands 0-1 Denmark
19:45 Germany 1-0 Portugal
NB: Saa za Afrika Mashariki
Ni zamu ya Kundi B katika mashindano ya Uefa Euro 2012.
Pamoja na Netherlands kucheza vizuri, Denmark ndio waliofanikiwa kutoka kifua mbele, kufuatia bao lililofungwa na Krohn Dehli katika ya 24.
Kwa mechi za kuwania kufuzu kombe la dunia, angalia hapo juu.
No comments:
Post a Comment