Vijana hawa walitumwa na wakuu wao kwenda kuchukua watu watatu a.k.a cargo ili wakatolewe kafara.
Ungo wa mmoja wao ulipata hitilafu za kiufundi akatiwa nguvuni, mwenzake naye akamfuata ili kujua 'what's going down', lakini wapiga sala a.k.a manabii a.k.a watumishi wa Mungu wakawazidi nguvu!
No comments:
Post a Comment