Picha hii inaitwa 'The Spear'
Picha hii imeleta mzozo nchini humo ikidaiwa kumdhalilisha rais, ambapo ombi lilipelekwa mahakamani kupata kibali cha kuzuia picha hiyo kuonyeshwa kwenye jumba hilo.
Lakini kabla ya mahakama kutoa uamuzi, jamaa wawili (Barend la Grange na Louis Mabokela) walifanikiwa kuingia kwenye jumba hilo na kuisulubu picha hiyo kwa kuipaka rangi nyekundu na nyeusi, na baadaye wakatiwa nguvuni.
Twanga link kuona jamaa wakiisulubisha picha hii- http://www.youtube.com/watch?feature=endscreen&NR=1&v=7HHJG2fyktc
No comments:
Post a Comment