Thursday, 8 December 2011

UJUMBE KUHUSU HAKI ZA MASHOGA NCHI ZA AFRIKA

Mashoga ni binadamu wa kawaida na wanahitaji kupewa haki ya kufanya maamuzi yao kama binaadamu wengine.

Kwa upande mwingine US imetoa ujumbe mkali unao wahusu viongozi wa nchi za Afrika na nyinginezo unasisitiza  kuhakikisha mashoga awanyanyaswi.  Balozi ama wawakilishi wa nchi hiyo wameagizwa kufuatilia utekelezaji huo mara moja bila kuchelewa!

US inapigia mstari maneno yaliyotolewa na waziri mkuu wa Uingereza hivi karibuni.
Pata ujumbe huu makini...  http://www.youtube.com/watch?v=MudnsExyV78&feature=player_embedded


Swali la kizushi: Viongozi wa Afrika ni sikio la kufa..........................................................!

No comments:

Post a Comment