Ajax 0-3 Real Madrid
Benfica 1-0 Otelul Galati
Dinamo Zagreb 1-7 Lyon
FC Basel 2-1 Man Utd
Inter Milan 1-2 CSKA Moscow
Lille 0-0 Trabzonspor
Man City 2-0 Bayern Munich
Villarreal 0-2 Napol
NB: Mechi zote 22:45 (saa za Afrika Mashariki)
Wow, What a disaster ! Nini kimewakumba vijana wa mji wa Manchester?
Ingawa Man City imeshinda 2-0 lakini wametolewa kwenye mashindano, huku wenzao Man Utd wakishindwa kufurukuta na hivo nao wametolewa kwenye mashindano kilicho waponza ni 'too litle too late'!
Pole ziwafikie wapenzi wa timu za mji wa Manchester!
Hongera kwa washabiki wa timu za mji wa London kwa timu zao kufuzu jana.
No comments:
Post a Comment