Wednesday, 14 December 2011

MWANAMITINDO WA KIPEKEE

Andrej Pejic amejaliwa uwezo kunadi mavazi ya kike na kiume pia! Ni swala la kazi ama kipaji alicho jaaliwa ( http://style.uk.msn.com/fashion/a-man-modelling-women%e2%80%99s-underwear#image=1 )

Mama yake alifika Australia kama mkimbizi  akitokea Bosnia-Herzegovina, lakini sasa amekuwa kivutio kikubwa Paris , New York nk.

 Anashikilia nafasi ya 18 kwa wanamitindo wa kiume mwaka 2011 ( http://models.com/model_culture/50topmalemodels/top50.cfm?fnumber=20&lnumber=16 ) ,  na
 nafasi ya 98  mwaka 2011 kwa wanawake wenye mvuto duniani ( http://www.fhm.com/girls/100-sexiest-women )




No comments:

Post a Comment