Hayo ni maneno ya wataalamu wanaotafiti maswala ya mashoga (gays or lesbians).
Utafiti wao unadai kwamba uhalalishaji wa ndoa za mashoga huko US umesaidia kupunguza matatizo ya kiafya yaliyokuwa yanawakabili mashoga kabla ya ndoa zao kuhalalishwa kisheria. Na nchini Uingereza utafiti umeonyesha kuna uhusiano kati ya afya bora na furaha (health and happines)
Wanadai tangu kuhalalishwa kwa ndoa za mashoga, mahitaji ya huduma za kiafya kama depression nk yamepungua kwa 13%.
Kujua zaidi twanga link- http://www.bbc.co.uk/news/health-16203621
No comments:
Post a Comment