Maandamano yaliyopangwa kufanyika Zanzibar leo Tarehe 18 November 2011( kwa undani zaidi angalia hapo chini- WALAHI MUUNGANO ZENJI-BARA NJIA PANDA ) yamehairishwa.
Maandamano ya wanaharakati hao (ZAFRA) yanakusudia kudai uhuru wa Zanzibar kutoka kwa anayedaiwa kuwa ni mkoloni (Tanganyika). Kuhairishwa huko kumeafikiwa baada ya taratibu za kupata kibali kukwama kufuatia majadiliano na vyombo husika.
Maandamano hayo yanategemewa kufanyika tarehe 26 November 2011 ambapo taratibu zitakuwa zimekamilishwa.
No comments:
Post a Comment