Saturday, 29 October 2011

UNAMJUA ALIYEFANYA MAUAJI NAIROBI?

Anaitwa Elgiva Bwire Oliacha (28), wala akubisha bali amekiri; kufanya mauaji , kuwa yeye ni member wa Al Shabaab, na kumuliki silaha kunyume na sheria!!

Baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha alichekelea, alipoulizwa kwanini anacheka  alisema anafuraha na ajutii kitendo alichofanya!  angalia hapa- http://www.youtube.com/watch?v=_YL8tlTvS58&feature=player_embedded

Hii hali ni ya kusikitisha, tunako elekea sio pazuri! for more twanga hapa- http://www.nation.co.ke/News/The+new+face+of+Al+Shabaab++/-/1056/1263654/-/smse6nz/-/index.html

No comments:

Post a Comment