Furaha iliyoje kwa vijana wa Wenger!
Weekend iliyopita tarehe 23 Oct 2011 tulishuhudia Man Utd akipigwa 6-1 na Man City. Lakini kwa Chelsea imekuwa kama jambo la kawaida kwani baada ya kufungwa na QPR 1-0 weekend iliyopita kwa mara nyingine leo wamepoteza mwelekeo wakiwa nyumbani baada ya kufungwa na Arsenal 5 -3.
Wow, Arsenal wanaendelea kujikusanyia point taratiiiiiiiibu!
No comments:
Post a Comment