Wednesday, 21 September 2011

JLS NA NGOMA YAO MPYA

Hawa vijana si wakawaida !
Wametoa single nyingine hewani, itakayotoka rasmi November 7 na kufuatiwa na album Nov 14. Kama kawaida nahisi itafika top kwenye chat.
kusikiliza tungua hapa- http://www.youtube.com/watch?v=UhJJZUX7TEo&ob=av2e

Tz inabidi kujitahidi miziki yetu ifike mbali,Je nini kifanyike ? Nini kikwazo kwenye mfumo mzima?

No comments:

Post a Comment