Thursday, 25 August 2011

SAKATA LA JAIRO - LIKIZO YAONGEZWA!

Waziri mkuu leo amelifahamisha bunge kwamba JK ameamuru Jairo aendelee na likizo mpaka uchunguzi ukamilishwe na tume itakayoteuliwa!

Je shamra shamra za jana zitakuwaje leo wizara ya Madini? Mh Ngeleja alichekelea kuona Jairo karudi kazini, je kuna agenda gani ?

Jairo akibanwa vizuri, wahusika wakuu uenda wakapatikana na hatia ama la.

Ngoma inaendelea, hongera kwa wabunge.

No comments:

Post a Comment