Thursday, 25 August 2011

ALEX FERGUSON, BBC WAMALIZA TOFAUTI ZAO

Sir Alex Ferguson aliweka mgomo wa kuojiwa kila baada ya mechi na chombo hicho cha habari tangu mwaka 2004. Ambapo ni wasaidizi wa coach huyo waliokuwa wanahojiwa badala ya Sir Alex F kama ilivyo desturi kwa timu nyingine

Lakini kuanzi sasa tofauti zao zimemalizika. Mechi inayofuata ni Manchester United dhidi ya Arsenal, jumapili ( 28/08/2011) saa 18:00 (saa za Afrika Mashariki)

Je Sir Alex ataojiwa baada ya mechi na mahojiano yatakuwaje ?

 for more- http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/14664803.stm

No comments:

Post a Comment