Sunday, 4 November 2012

RIKKONEN ASHINDA RACE ZA ABU DHABI GRAND PRIX, HAMILTON ASHINDWA KUMALIZA

Kimi Raikkonen ameipatia Lotus baada ya kupata ushindi wake wa kwanza wa msimu huu kwenye race za Abu Dhabi Grand Prix.

Hamilton (McLaren) aliyeanza katika nafasi ya kwanza alijitoa katika mzunguko wa 20 baada ya gari lake, hivyo kukabidhi nafasi ya kwanza kwa Raikkonen.

Nafasi ya pili ilichukuliwa na Alonso (Ferrari) aliyeanza katika nafasi ya 6, nafasi ya tatu ilichukuliwa na Vettel (Red Bull) aliyeanza katika nafasi ya 24 (mkiani) naye Jenson Burton (McLaren) alimaliza katika nafasi ya 4.

Msimamo wa top 6 ulivyo (point mabanoni) -
1.Sebastian Vetel (255), 2.Fernando Alonso (245), 3.Kimi Raikkonen (198), 4.Mark Webber (167), 5.Lewis Hamilton (165), 6.Jenson Button (153)

Zimebaki race mbili za msimu huu: United State Grand Prix (18 Nov) na Brazillian Grand Prix (25 Nov)

No comments:

Post a Comment