Wednesday 12 September 2012

MOVIE / FILM ILIYOLETA VURUGU KWENYE BALOZI ZA MAREKANI NCHINI LIBYA

Msukumo wa mabadiliko nchini Libya ulianza kwenye mji wa Bengazi, upepo huo ulisambaa nchi nzima na kufanikiwa kuung'oa utawala wa Muammar Gaddafi madarakani.

Matokeo ya mabadiliko hayo yalisaidiwa na nchi nyingi ikiwemo Marekani.

Jumanne, 11 Sept 2012 ikiwa ni siku ya kumbukumbu ya mauaji ya Sept 11 nchini Marekani, huko Libya kwenye mji wa Bengazi uliibuka mgomo kwenye ubalozi wa Marekani kupinga film  iliyogusa imani za wengi.

Movie / Film fupi ya dk 15 imetengenezwa na Sam Bacile ambaye ni raia wa Marekani, twanga link kuangalia  http://www.youtube.com/watch?v=iC6yGzpSvjU


No comments:

Post a Comment