Sherehe ya kukabidhi tuzo hizo zilizoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TASWA) na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), zilifanyika usiku wa kuamkia 15 June 2012, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salam.

Rais Mstaafu, A H Mwinyi akikabidhi tuzo kwa Shomari Kapombe

Pichani toka kushoto: Teddy Mapunda (Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL), Geofrey Kaburu (Makamu M/kiti wa Simba), Shomari Kapombe, na Richard Wells (CEO wa SBL)
Shomari Kapombe ndiye aliyeipatia Taifa stars bao la kusawazisha kwenye mechi dhidi ya Gambia, mechi ambayo Taifa Stars ilishinda 2-1.
Zawadi hizi zitaleta motisha zaidi kwa taifa Stars weekend hii, dhidi ya timu ya taifa ya Msumbiji?
No comments:
Post a Comment