Saturday, 28 April 2012

MECHI ZA 28 APRIL 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

17:00 Everton 4-0 Fulham
17:00 Stoke 1-1 Arsenal
17:00 Sunderland 2-2 Bolton
17:00 Swansea 4-4 Wolves
17:00 West Bromwich 0-0 Aston Villa
17:00 Wigan 4-0 Newcastle
19:30 Norwich 0-3 Liverpool

NB: Saa za Afrika Mashariki

Ahhh! New Castle yatoa zawadi kwa Arsenal. Bwawa nalo limepata nafuu, mvua yawanyeshea!

Msimamo ulivyo (point mabanoni):-
1.Man Utd(83), 2.Man City(80), 3.Arsenal(66), 4.Newcastle(62), 5.Tottenham(59) 6.Chelsea(58), 7.Everton(51), 8.Liverpool(49), 9.Fulham(46), 10.West Brom(46), 11.Sunderland(45), 12.Swansea(44), 13.Norwich(43), 14.Stoke(43), 15.Aston Villa(37), 16.Wigan(37), 17.QPR(34), 18.Bolton(34), 19.Blackburn(31), 20.Wolves(24)

----------------------------------------------------------------------------------------------
Mshike mshike kwa Arsenal, Newcastle, Liverpool na Bolton!

Chelsea imeinga fainali ya Ligi ya Mabingwa (UEFA), na kama awatamaliza top 4 kwenye Ligi ya Uingereza awatacheza UEFA msimu ujao! Lakini kama Chelsea itaibuka mshindi kwenye fainali hizo za UEFA watacheza kama bingwa mtetezi na kuwa mojawapo ya timu 4 za Uingereza kucheza ligi hiyo, jambo ambalo litaigarimu timu yeyote itakayo maliza ligi ya Uingereza ikiwa kwenye nafasi ya nne, kwani aitacheza Ligi ya Mabingwa bali itacheza Ligi ya Europa.  

Hapo ndipo Arsenal, Newcastle na Tottenham zinapopata kizunguzungu. Ili kuwa na hakika ya kucheza ligi ya mabingwa msimu ujao, lazima mojawapo ya timu hizi imalize msimu ikiwa kwenye nafasi ya 3.

Liverpool nayo ina mtihani mkubwa sababu uenda ikamaliza nje ya top 10, aibu kubwa!

Bolton wanaweza kushuka daraja, ushindi leo ni mojawapo ya hatua ya kujinasua kwenye balaa.

Kesho: Chelsea v QPR, Tottenham v Blackburn

Jumatatu : Man Utd v Man City

No comments:

Post a Comment