Monday, 12 September 2011

AJALI NYINGINE- MLIPUKO WA BOMBA LA MAFUTA KENYA

Mzimu wa ajali unaendelea kusumbua East Afrika, na sasa upo nchini Kenya  ambapo kumetokea ajalii ya mlipuko wa bomba la mafuta mjini Nairobi, Lunga Lunga Industrial Area, wengi wameathirika.

bofya hapa kwa undani zaidi-   http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-14879401

No comments:

Post a Comment