Wednesday, 3 August 2011

SLAVERY IS FOR TANZANIANS MOSTLY?

Why mostly Tanzanians are the victims of slavery in the UK if not other parts of the world?

Je ni utamaduni na malezi ya kitanzania yanayochangia kujikuta katika hali hii? Je Watanzania wawenyewe huwa wanawatendea vipi waathirika kama hawa wawapo Tanzania, mfano wafanyakazi wa majumbani ambao kwa upande mwingine wakitendewa hivo nje ya nchi inaitwa utumwa?

Cha muhimu hapa ni kulinganisha yale yanayotokea kwa waathirika wa slavery nje ya nchi na matukio yanayotokea nchini Tanzania, ili kupata jibu, je pande zote ilipaswa kuitwa utumwa na wahusika kuchukuliwa hatua za kisheria kama vile inavotokea UK.

Kwa habari zaidi-  http://www.metro.co.uk/news/871082-hiv-expert-smuggled-slave-21-into-britain
                            
                           -  http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/news/3727333/Scientist-kept-girl-of-21-as-a-slave.html

No comments:

Post a Comment