Sunday 24 July 2011

URANIUM NI UKOMBOZI KWA TATIZO LA UMEME

Kama serikali ya Tanzania itakuwa na mipango mizuri, tatizo la umeme litapungua kama sio kumalizika. Upatikanaji wa madini ya Uranium ukijumlishwa na Gas ya Songo Songo utamaliza kilio cha wananchi kuhusu umeme, kwani tatizo la ukame alitakuwa sababu ya kukatika kwa umeme.

Serikali isiishie hapo bali umeme wa jua , upepo nk unabidi kufanyiwa utafiti na kuwezesha technology hizo kutumaka, kwani azina madhara kimazingira, na garama zake ni za chini kulinganisha na umeme wa maji, na genarator za mafuta.

kwa habari zaidi: http://www.thecitizen.co.tz/business/-/13052-tanzania-uranium-for-peaceful-uses-only

No comments:

Post a Comment