Sunday, 24 July 2011

NINI CHANZO CHA MGAO WA UMEME

Ukweli wa chanzo cha tatizo la umeme Tanzania ni nini?

Nani anayesema ukweli kuhusu chanzo hiki? TANESCO wametoa sbb zao , na JK naye katoa sbb zake.

Serikali iliyopo madarakani ilianza mikakati ya kutatua tatizo hili la umeme tangu msimu wa miaka 5 iliyopita bila kulimaliza, na JK kapata miaka mingine 5 na bado wanasuasua.

Kamati ya Makamba iliundwa na mpk sasa hakuna mafanikio yoyote, ndio kwanza linaongezeka kwa mitambo ya IPTL kupunguza uzalishaji, lakini TANESCO wametoa sababu tofauti kwamba ni ukame unao sababisha upungufu wa maji

Je ukweli ni upi, na mzembe ni nani?

http://issamichuzi.blogspot.com/2011/07/breking-nyuuuuuzzzzzz-wabunge-waikataa.html
http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-14192896 

http://www.menafn.com/qn_news_story.asp?storyid={738b3324-a8d3-4185-8d2c-6601e04d4568}

No comments:

Post a Comment