16:30 Liverpool 0 - 0 Everton
19:00 Manchester Utd 0 - 1 Chelsea
NB: Saa za Afrika Mashariki
Washabiki wa Arsenal anzeni mayoweee!
Man Utd yagawa ushindi kwa Chelsea dk 3 kabla ya kipenga cha mwisho, ni katika piga ni kupige iliyopelekea Phill Jone wa Man Utd kujifunga.
Msimamo, top 7 (point mabanoni): 1.Man Utd (85), 2.Manchester City (72), 3.Chelsea (68), 4.Arsenal (67), 5.Tottenham (65), 6.Everton (60), 7.Liverpool (55)
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Ushindi ni muhimu kwa Chelsea, kinyume na hapo ni kuipa kisogo Uefa Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Jumatano kuna kilima kingine kwa Chelsea dhidi ya Tottenham ambayo pia inanyemelea nafasi hiyo, matokeo mabaya ni kicheko kwa Arsenal.
Kesho: Sunderland v Stoke City
No comments:
Post a Comment