21:45 Borrusia Dortmund 3 - 2 Malaga
21:45 Galatasaray 3 - 2 Real Madrid
NB: Saa za Afrika Mashariki
Real Madrid na Borusia zanusurika, zaingia nusu fainali
Real Madrid ilijua imekamilisha kazi baada ya Ronaldo kupata bao la kwanza dk ya 7 mchezo kuanza. Galatasaray ikaotoa makucha dk ya 5 ya kipindi cha pili, na dk 20 baadaye Sneijer akapachika baola pili na baada ya dk 2 Drogba akapachika bao la tatu na kuwaacha Real wakishangaa. Hatimaye ndani ya dk za majeruhi Ronaldo akafunga bao la pili na doto za Galatasaray.
Borrusia nayo yaponea kwa kupata mabao mawili ndani ya dk za nyongeza kabla ya mpira kwisha!
-------------------------------------------------------------------------------------------------------
Hii ni lala salama ama funga virago, kwenye mechi za kwanza Real Madrid ilishinda 3-0 dhidi ya Galatasaray, na Borrusia ilitoka 0-0 dhidi ya Malaga.
Kesho: Barcelona v Paris St Germain, Juventus v Bayern Munich
No comments:
Post a Comment