22:00 Manchester Utd 1 - 2 Manchester City
NB: Saa za Afrika Mashariki
Man Utd yavutwa shati, ni kama vile imetoka kapa bila bao!
Man City ilikuwa ya kwanza kuliona bao la Man Utd dk ya 6 ya kipindi cha pili nabaada ya dk 8 Man Utd ikapewa zawadi ya bao la kusawazisha baada ya mpira kumbabiza mchezaji wa Man City,Vincent Company na kuingia kimiani. Hata hivo Man City ilifanikiwa kupata bao la pili dk 12 kabla ya kipenga cha mwisho
Msimamo wa top 10 (point mabanoni): 1.Man Utd (77), 2.Man City (65), 3.Chelsea (58) 4.Tottenham (58), 5.Arsenal (56), 6.Everton (52), 7.Liverpool (49), 8.West Brom (44), 9.Swansea (41), 10.Fulham (39)
-------------------------------------------------------------------------------------------------------
Mbabe nani?
Mechi ya kwanza Man Utd ilishinda 3-2 dhidi ya Man City. Man Utd inaogoza ligi ikiwa na point 77 na ikifuatiwa na Man City yenye 62, ni tofauti ya point 15!
No comments:
Post a Comment