Mafanikio hayo ya Azama yamepatikana kufuatia matokeo ya 0-0 dhidi ya Barrack Young Controllers (Barack YC II) ya Liberia, kwenye mechi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jumamosi 06 April 2013
Mchezaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akipambana na Prince Jetoh wa Barack Y C II
Katika mechi ya awali Azam iliinyuka BYC, 2-1.
No comments:
Post a Comment