Saa 22:12 kwa masaa ya Afrika Mashariki, jina la Papa lilitangazwa mbele ya umati wa watu walio kusanyika St Peter's Square, na baadae Papa Francis alitokeza na kuongea.
Papa Francis I akipungia umati wa watu St Peters Square
Saa 21:06 kwa zaa za Afrika Mashariki moshi mweupe ulifuka na kengele kupigwa kuashiria kupatikana Papa mpya.
Moshi mweupe kuashiria kupatikana wa Papa mpya
Wazazi wa Papa Francis I ni Waitalia walioamia Argentina alikozaliwa na kuishi Papa Francis.
Papa Francis I amechaguliwa baada ya kustaafu Papa Benedict XVI terehe 28 February 2013.
No comments:
Post a Comment