15:45 Fulham 1 - 0 Stoke City
18:00 Arsenal 2 - 1 Aston Villa
18:00 Norwich 2 - 1 Everton
18:00 Queens Park Rangers 0 - 2 Manchester Utd
18:00 Reading 0 - 3 Wigan Athletics
18:00 West Bromwich 2 - 1 Sunderland
NB: Saa za Afrika ya mashariki
Arsenal yaongeza kasi, sasa nafasi ya 2,3 na 4 na 5, bado hazina mwenyewe!
Baada ya Santi Cazorla kufunga bao dk ya 6, Arsenal walijua wanazo point 3 kiganjani mpaka pale Aston Villa walipo sawazisha ikiwa zimebaki dk 22 kabla ya kipenga cha mwisho. Ikiwa ni kazi yaziada hatimaye Cazorla tena akapacika bao la pili dk 5 kabla ya kipenga cha mwisho.
Kwa upande mwingine, Arsenal imepata nafuu kwani Everton waliokuwa wanawanyatia wamepata kichapo na kupunguzwa kasi.
Msimamo wa top 10 (point mabanoni): 1.Man Utd (68), 2.Man City (53), 3.Chelsea (49), 4.Tottenham (48), 5.Arsenal (47), 6.Everton (42), 7 West Brom (40), 8.Liverpool (39), 9.Swansea (37), 10.Stoke (33)
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Man Utd kuendeleza ushindi? Arsenal kuendeleza uteja ama kushusha mzigo wa hasira za kutolewa kwenye FA na kipigo cha Buyern Munich?
Kesho: Man City v Chelsea, Newcastle v Southampton. Fainali ya Kombe la Capital One: Bradford v Swansea
No comments:
Post a Comment