23:00 Liverpool 0 - 2 West Bromwich Albion
NB: Saa za Afrika ya Mashariki
Zimebakia mechi 12 kufunga msimu!
Kwa mwendo huu Bwawa la maini (Liverpool) linaelekea kukauka kabisa! Imekubali kuvutwa nyuma nafasi moja mpk nafasi ya 9 na kuipisha West Brom kuchukua nafasi ya 8, kwenye uwanja wa nyumani!
----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Hii ni mechi ya vuta kuvute! Liverpool ipo nafasi ya 8 na inazo point 36, West Brom ipo nafasi ya 9 ikiwa na point 34.
No comments:
Post a Comment