Huu ni mdahalo (presidential debate) wa kwanza kati ya miwili kwa wagombea urais nchini Kenya, kabla ya uchaguzi utakaofanyika 04 March 2013.
Awali ilitegemewa kuhusisha wagombea 6 na kutumia masaa mawili, lakini mabadiliko yalifanywa na kuhusisha wagombea 8 kufuatia ongezeko la wagombea wawili, hivyo mdahalo kutumia zaidi ya masaa matatu.........
No comments:
Post a Comment