Tuesday, 12 February 2013

MAAJABU SABA YA ASILI AFRIKA, TANZANIA INAJIVUNIA USHINDI WA TUZO TATU

Tanzania inajivunia ushindi wa vivutio vya utalii baada ya kushinda tuzo tatu kati ya saba za Maajabu saba ya asili barani Afrika (Seven Natural Wonders of Africa).

Vivutio vya utalii vilivyoshinda ni Mlima Kilimanjaro, Ngorongoro Crater na mbuga za wanyama za Serengeti.

Waziri mkuu, Pinda Mizengo (katikati) kwenye sherehe za kukabidhiwa tuzo hizo kwenye hotel ya Mt Meru, mjini Arusha

Mkurugenzi wa hifadhi za taifa (TANAPA), Bw Allan Kijazi ikinyanyua tuzo za hifadhi ya Serengeti. Kushoto ni mwakilishi wa taasisi ya tuzo hizo Bw Philip Imler

No comments:

Post a Comment