22:45 Aston Villa 2 - 1 Bradford
NB: Saa za Afrika Mashariki
Bradford kucheza fainali, yasubiri mshindi wa mechi ya Swansea v Chelsea
---------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni mechi ya marudiano ambapo mechi ya kwanza Bradford ilishinda 3-1. Mshindi atacheza fainali na mshindi wa mechi ya kesho.
Kesho: Swansea v Chelsea
*Labda finali itakuwa kati ya Swansea v Bradford, ama Chelsea?
No comments:
Post a Comment