22:30 Arsenal 1 - 0 Swansea
23:05 Manchester Utd 1 - 0 West Ham Utd
NB Saa za Afrika Mashariki
Arsenal na Man U zaingia round ya nne.
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Baada ya timu hizi kutoka sare ya 2-2 kwenye mechi za kwanza zilizofanyika 05 na 06 Jan, leo lazima mshindi apatikane. Ni Arsenal na Man U kufungashwa virago?
No comments:
Post a Comment